
Naibu Waziri wa Afya Mahmoud
Thabit Kombo akizungumza na wananchi wa kijiji cha Miwani baada ya
kusikiliza matatizo yanayokikabili kituo cha Afya cha Miwani.

Naibu Waziri wa Afya Mhmoud Thabit
Kombo akiwasilikiza wananchi wa Miwani wakati alipofanya viara ya
kutembelea kituo cha Afya cha Kijiji hicho kujua matatizo yanayokikabili
kituo hicho, (kushoto) Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Mohammed Saleh
Jidawi.

Daktari dhamana Kanda ya Unguja
Dkt. Fadhil Mohd Abdalla akitoa ufafanunuzi baadhi ya masuala
yaliyoulizwa na wananchi wa kijiji cha Miwani wakati wa ziara ya Naibu
Waziri wa Afya katika kituo hicho.

Naibu Waziri wa Afya Mhmoud Thabit
Kombo akiwasilikiza wananchi wa Miwani wakati alipofanya viara ya
kutembelea kituo cha Afya cha Kijiji hicho kujua matatizo yanayokikabili
kituo hicho, (kushoto) Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Mohammed Saleh
Jidawi.

Mmoja ya wananchi wa kijiji cha
Miwani akimueleza Naibu Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo (hayupo
pichani) matatizo wanayoyapata kutokana na upungufu wa huduma muhimu
katika kituo hicho .

Muuguzi wa Kituo cha Afya cha
Miwani, Wilaya ya Kati Unguja Fatma Keisi Ali akimtembeza Naibu Waziri
wa Afya Mahmoud Thabit Kombo sehemu mbali mbali za Kituo hicho kuona
changamoto zinazowakabili ikiwemo tatizo la umeme, maji na upungufu wa
wafanyakazi kituoni hapo.

Kituo cha Afya cha Miwani ambacho
Naibu Waziri ameahidi kukiboresha ikiwa pamoja na kuondosha tatizo la
umeme, maji na kujenga nyumba ya wafanyakazi. Picha Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...