Naibu Waziri, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya
Makazi; Angelline Mabula (Mb), akiangalia mafaili ya kesi mbalimbali katika
Baraza la Ardhi na Nyumba la Kinondoni, jijini Dar es salaam, alipofanya ziara ya kushtukiza katika
Baraza hilo, kulia kwake ni karani wa baraza hilo, Bahati Rashidi.
Naibu Waziri, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi; Angelline
Mabula (Mb), akitazama utunzwaji wa mafaili katika masijala alipofanya ziara ya
kushtukiza katika Baraza la Ardhi na Nyumba la Kinondoni, pembeni yake ni
karani wa baraza hilo; Bahati Rashidi
Naibu Waziri, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya
Makazi; Angelline Mabula (Mb), akiongea na Wananchi wa King’azi Juu A,
alipofika katika eneo hilo ambalo limekuwa na mgogoro wa ardhi kati ya wilaya
ya Kinondoni, Kisarawe na Ilala.
Waheshimiwa nendeni na Temeke kushuhudia uozo na uongo uliojaa huko. Eti watendaji wanajitapa kuwa kiongozi yeyote atakayefuatilia watamuhonga kiwanja na kumfunga mdomo. wananchi tunatizama na haki zetu tunazingojelea.
ReplyDelete