Serikali imetoa agizo kwa wakuu wa mikoa na wilaya kuhakikisha wanafikisha taarifa za ugonjwa wa kipindupindu wizarani kwa wakati. https://youtu.be/wxauztmL6Rk
Baadhi ya waumini wa dini ya kiislamu wameunga mkono jitihada za rais Dkt Magufuli kwa hatua anazochukua kupambana na vitendo vya ubadhirifu. https://youtu.be/bYqUW5DXtao
wakazi wa eneo la Kinondoni Jijini Dar wameanza kujenga upya mabanda ili kujihifadhi baada ya nyumba zao kubomolewa. https://youtu.be/BasLD6w7-xw
Watanzania washauriwa kupima afya zao kila baada ya miezi sita na kufanya mazoezi ili kujikinga na magonjwa: https://youtu.be/VhTGpWvwizw
Wahitimu wa mafunzo ya awali JKT Dodoma wahimizwa kuwa wazalendo na kushirikiana vema kulinda taifa la Tanzania: https://youtu.be/3sbrd0q0XVc
Watuhumiwa nane washikiliwa na Jeshi la polisi mkoani Morogoro kwa tuhuma za kumiliki silaha kinyume na sheria: https://youtu.be/IBx0BE0nwOo
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...