Mafundi wakiendelea na  Upanuzi wa barabara ya Mwenge Morocco jijini Dar es Salaam leo ikiwa ni sehemu ya agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, Hii ni baada ya Rais kuelekeza fedha  za maadhimisho ya siku ya uhuru ya Disemba 9 zitumike katika upanuzi wa barabara hiyo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Inapendeza kuona kasi za kujenga nchi. Naona hakuna uburuzaji wa miguu siku hizi. Hongera JPM na timu mpya
    Wakuu wa Dar nawaomba upanunuzi huu ukimalizika njia hiyo iitwe Desember9/15
    Iwe ni ukumbusho wetu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...