Mkurugenzi
wa Masoko na Uhusiano wa Kampuni ya UTT AMIS, Daud Mbaga (katikati),
akitoa mada kuhusu Uwekezaji wa Pamoja wakati wa mkutano wa Chama cha Wafanyakazi wa Taasisi za Elimu Tanzania uliyofanyika mjini Tanga. (Na Mpigapicha Wetu)
Mwanachama mpya wa UTT AMIS akijaza fomu ya kuwa mwekezaji katika mfuko wa Uwekezaji wa pamoja wa umoja wa UTT AMIS.
Washiriki wakisikiliza mada kuhusu faida za Uwekezaji wa Pamoja wakati wa mkutano wa Chama cha Wafanyakazi wa Taasisi za Elimu Tanzania ulioandaliwa na UTT-AMIS.
Ofisa Masoko Mkufunzi wa UTT AMIS, Waziri Ramadhani, akitoa Elimu ya Uwekezaji wa pamoja wakati wa mkutano wa Chama cha Wafanyakazi wa Taasisi za Elimu Tanzania.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...