Afisa Elimu Vifaa na Takwimu Halmashauri ya Kibaha Vijijini Doris Semkiwa ambaye anamwakilisha Afisa Elimu wa Halmashauri ya Kibaha Vijijini akitoa mada kwa Washiriki wa mafunzo ya kuwajengea uwezo Walimu na Wanafunzi katika Ufundishaji na Ujifunzaji kwa shule za sekondari (STEP) wakifuatilia mafunzo hayo katika kituo cha Shule ya sekondari Kilangalanga iliyopo wilayani Kibaha Vijijini mkoani Pwani.
Washiriki wa mafunzo ya kuwajengea uwezo Walimu na Wanafunzi katika Ufundishaji na Ujifunzaji kwa shule za sekondari (STEP) wakifuatilia mafunzo hayo katika kituo cha Shule ya sekondari Kilangalanga iliyopo wilayani Kibaha Vijijini mkoani Pwani.
Baadhi ya sampuri zilizokusanywa na washiriki wa mafunzo ya kuwajengea uwezo Walimu na Wanafunzi katika Ufundishaji na Ujifunzaji kwa shule za sekondari (STEP) kwa ajili ya kufundishia la Biolojia kulingana na mazingira waliopo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...