Watanzania wahitimu shahada ya uzamili kutoka taasisi ya kimataifa International Institute of Social Studies ya chuo kikuu cha Erasmus cha nchini uholanzi.Kutoka kushoto ni Mama Agnes mtumishi wa ubalozi wa Tanzania nchini uholanzi, Shamy Chamicha mhitimu shahada ya uzamili ya uchumi, Balozi wa tz nchini uholanzi mh.Irene kasyanjo, Ruth John mhitimu shahada ya uzamili ya uhakiki wa chakula na mazingira, Jackson Bulili mhitimu shahada ya uzamili Uchumi na Rector wa taasisi hiyo mhe. Inge Hutter. Mahafali yalifanyika tarehe 11 December, 2015 nchini Uholanzi. Wasomi hawa wanamuomba MheRais Dkt. Magufuli awatumie pia ili wachangie maendeleo ya nchi yao kwa kasi kubwa.
Home
Unlabelled
Watanzania wahitimu shahada ya uzamili kutoka taasisi ya kimataifa international institute of social studies ya chuo kikuu cha Erasmus cha nchini uholanzi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...