Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimkaribisha kwenye Makao Makuu
ya Chama, Ofisi Ndogo CCM Lumumba,Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano
Mhe.Majaliwa Kassim Majaliwa.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa akisalimiana na Katibu wa NEC,Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Dk. Asha-Rose Migiro nje ya Ofisi Ndogo,Lumumba katikati ni Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa akisalimiana na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM kutoka wilaya ya Simanjiro Mhe. Christopher Ole Sendeka nje ya Ofisi Ndogo, CCM Lumumba.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa akisaini kitabu cha wageni cha Ofisi ya Katibu Mkuu wa CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...