Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard Kalemani (wa pili kulia) akimsikiliza mmoja wa wananchi wanaozunguka mgodi wa dhahabu wa Busolwa mkoani Geita wakati alipofanya ziara katika mgodi huo ili kuangalia shughuli mbalimbali zinazofanyika katika mgodi huo.
Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard Kalemani (wa tatu kulia) akiangalia baadhi ya mitambo inayotumika katika shughuli za uzalishaji dhahabu katika mgodi wa Busolwa mkoani Geita wakati alipofanya ziara katika mgodi huo . Wa kwanza kulia ni mmiliki wa mgodi huo, Baraka Ezekiel.
Baadhi ya mitambo inayotumika katika
shughuli za uzalishaji dhahabu katika
mgodi wa Busolwa mkoani Geita unaomilikiwa na Baraka Ezekiel.
Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt.
Medard Kalemani (katikati) akiwa na
watendaji mbalimbali kutoka Wizara ya Nishati na Madini, Shirika la Umem e
nchini (TANESCO), Wakala wa Ukaguzi wa Madini Tanzania (TMAA), Wakala wa
Nishati Vijijini (REA)na Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) wakati wa kikao
chake na wakandarasi wanaosambaza umeme vijijini (hawapo pichani)
kilichofanyika mkoani Geita .
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...