Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na
Mawasiliano upande wa sekta ya Mawasiliano Prof Faustine Kamuzora wa pili kulia
akipokea nyaraka wakati wa makabidhiano ya ofisi kutoka kwa aliyekuwa Katibu
Mkuu wa iliyokuwa Wizara ya Mawasiliano Sayansi na Teknolojia Dkt Yamungu
Kayandabila wa kwanza kutoka kulia.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi
Uchukuzi na Mawasiliano katika sekta ya Mawasiliano Mary Sassabo kulia wakati akimsikiliza
Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Prof Faustine Kamuzora ( hayupo pichani) na kushoto
ni Mkurugenzi wa Utawala na rasilimali watu Bi Selina Lyimo.
Baadhi ya Watumishi wa Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano
katika Sekta ya Mawasiliano wakimsikiliza Katibu Mkuu wao mpya Prof. Faustine Kamuzora hayupo pichani.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na
Mawasiliano katika sekta ya Mawasiliano Prof. Faustine Kamuzora akizungumza na
manajimenti ya sekta ya Mawasiliano (hawapo pichani).
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...