Naibu Waziri wa Elimu,
Sayansi, Teknolojia na Ufundi Eng Stella Manyanya akizungumza na washiriki wa mafunzo
ya Walimu Wawezeshaji wa masomo ya Hisabati, Kiingereza na Kiswahili kutoka
shule za msingi katika Halmashauri za Mkoa wa Ruvuma na Halmashauri ya Ludewa Mkoa Njombe.
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi Eng Stella Manyanya akishiriki katika darasa mojawapo la mafunzo ya Walimu Wawezeshaji wa masomo ya Hisabati, Kiingereza na Kiswahili kutoka shule za msingi katika Halmashauri za Mkoa wa Ruvuma na Halmashauri ya Ludewa Mkoani Njombe.
Afisa wa Kitengo cha Ufatiliaji cha Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa kutoka Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi Lawrence Sanga akitoa taarifa fupi juu ya mafunzo ya walimu wawezeshaji yanayoendelea kufanyika katika vituo Shule ya Sekondari ya Wasichana Songea, Shule Sekondari Mwangaza - Katavi na Shule ya Sekondari Mwenge - Singida
Baadhi ya Washiriki wa mafunzo ya Walimu Wawezeshaji wa Masomo ya Hisabati, Kiingereza na Kiswahili wakimsikiliza mgeni rasmi Mhe. Stella Manyanya Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi wakati wa uzinduzi wa mafunzo ya hayo mkoani Ruvuma
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...