Baadhi
ya wajumbe wa Timu ya kutoka Wizara ya Nishati na Madini,Wizara ya
kilimo, mifugo na uvuvi ,Wizara ya maji, na umwagiliaji , Shirika l
Umeme Tanzania (Tanesco )pamoja na Watalamu wa bonde la mto Rufiji
wakipata maelezo ya namna ambavyo umeme wa maji huzalishwa katika kituo
cha Kihansi .
Timu ya wataalam kutoka
Wizara ya Nishati na Madini,Wizara ya kilimo, mifugo na Uvuvi ,Wizara
ya maji, na Umwagiliaji , Shirika l Umeme Tanzania (Tanesco ) pamoja na
Watalamu wa bonde la mto Rufiji waliotembelea vyanzo vya maji vinavyotiririsha maji katika mito inayomwaga maji mabwawa ya kuzalisha umeme wa maji ikiwemo Mtera,
Kihansi na Kidatu ili kuunganisha nguvu ya pamoja na kurejesha vyanzo
hivyo katika hali yake ya awali kutokana na kuathiriwa na shughuli za
kibinadamu na hivyo kusababisha kukauka na upungufu wa maji katika
mabwawa ya kuzalisha umeme wa maji ilivyokuwa katika miaka ya nyuma.
Muonekano
wa Bwawa la Kihansi kwa sasa ambalo pia limepunguza uzalishaji wa umeme
wa maji kutokana na kupungua kwa kina cha maji.
Timu ya wataalamu kutoka
Wizara ya Nishati na Madini,Wizara ya kilimo, mifugo na uvuvi ,Wizara
ya maji, na umwagiliaji , Shirika l Umeme Tanzania (Tanesco )pamoja na
Watalamu wa bonde la mto Rufiji waliotembelea vyanzo vya maji vinavyotiririsha maji katika Mabwawa ya kuzalisha umeme .
Eneo lenye chanzo cha cha maji pamoja na mto mbalo
hutumiwa kwa shughuli za kibinadamu na kusababisha upotevu wa maji
yanayoingia katika mto unaomwaga maji katika mabwawa ya kuzalisha umeme
wa maji
Moja ya sehemu ya mashine ama mtambo inayotumika kuzalisha umeme wa maji katika vituo vya Kihansi, Kitadu na Mtera.
Mashine inayotumika kuondoa taka kama vile magogo na nyingine zanamna hiyo katika mabwawa ya kuzalisha umeme wa maji.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...