AZAM TV: Arsenal yapaa, Man united yashinda, Azam na Simba vitani Zanzibar, Liverpool chali, Chacharito ang’ara, Niyonzima atoa ya moyoni. Tazama uchambuzi wa magazeti ya leo. https://youtu.be/7l4a3gY8ngM
TBC: Kingunge ampa siku 100 Magufuli, Wananchi wavamia shamba la Sumaye, Basi lenye abiria 42 latumbukia mtoni, Mwigulu acharuka; Pata dondoo za magazeti ya leo. https://youtu.be/0gFnivfZUfc
STAR TV: Mchungaji Rwakatare aivimbia serikali, Wingu zito lazidi kutanda Zanzibar, Panga la Magufuli lawanyemelea Mabalozi. Furahia uchambuzi wa magazeti. https://youtu.be/CviaHbXdM_o
CH10: Lowassa amemponza, Ubadhilifu wa kutisha mnadani, Mawaziri wakuu wamjadili Magufuli, Bomoa bomoa yahamia kwa Vigogo. Tazama habari zilizopewa uzito wa juu magazetini. https://youtu.be/ADpPuEdXzeA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...