Mwalimu Julius Kambarage Nyerere akikagua timu wanja wa Taifa miaka ya 1970. Alikuwa mpenzi sana wa mchezo huu hadi pale FAT walipomfedhehesha mbele ya mgeni wake Rais Nimeiry wa Sudan kwa kuleta timu ya Taifa Uwanjani wachezaji wakiwa tumbo wazi mwaka 1972. Toka siku hii hakukanyaga tena uwanja wa soka.
Siku ya Aibu kwa Taifa: Rais Jaafar Muhammad al-Nimeiry wa Sudan akisalimiana na Omary Zimbwe. Wengine kutoka kushoto ni Mohamed Chuma, nahodha Mohamed Abdurlahmani, Kitwana Manara m na Abdallah Kibadeni
Duh kwahiyo Mzee kibadeni anaweza kutupa historia jinsi ilivyokua .....yawezekana pia walicheza peku. Hata hivyo ni kumbukumbu nzuri sana ktk medani ya soka. Heshima kubwa iende kwa wachezaji wote wa stars waliocheza siku hiyo na wote waliokaa benchi matumbo wazi!!hahahahaa
ReplyDeleteKha! hebu tupe maelezo ya ziada please.
ReplyDeleteWalikwenda tumbo wazi kwa vile hawakununuliwa fulana au vipi? Maana hili kwa ukweli lilikuwa tukio la mwaka.
A male footballer parading in bare chest is no news.They are just showing off pecs.
ReplyDeleteUzembe kwenye soma letu umeanza zamani.Siku hiyo ilikuwa aibu.
ReplyDeleteDuh...tumetoka mbali...
ReplyDelete