MABASI YATAANZA SAFARI SAA KUMI NA MBILI KASORO ROBO KUTOKEA DEPOT YA JANGWANI KWA MPANGILIO UFUATAO.
1. RUTI YA KIMARA- KIVUKONI Mabasi Sita (6). Kati ya mabasi Hayo sita wakati wa Kutoka Jangwani matatu yataenda Kimara na Matatu Kivukoni.
2. RUTI YA KIMARA - KARIAKOO Mabasi Sita (6). Kati ya hayo Matatu yataelekea Kariakoo na Matatu Kimara.
3. RUTI YA UBUNGO - KIVUKONI Mabasi nane (8). Kati ya hayo Mabasi Manne yataelekea Ubungo na Manne Kivukoni.
4. RUTI YA UBUNGO - KARIAKOO Mabasi nane (8). Kati ya hayo Mabasi manne Yataenda Ubungo na Manne yataenda Kariakoo.
5. RUTI YA UBUNGO - MOROCCO Mabasi nane (8). Kati ya hayo Manne yataenda Ubungo Manne yataenda Morocco.
6. RUTI YA MOROCCO - KARIAKOO Mabasi sita (6). Kati ya hayo mabasi Matatu Morocco na Matatu Kariakoo.
7. RUTI YA MOROCCO - KIVUKONI Mabasi nane (8). Kati ya Hayo Mabasi Manne yataenda Moroco na mabasi manne Kivukoni.
DESPATCH PLAN SAA KUMI NA MBILI KAMILI.
1. Kimara Terminal Mabasi Sita (6)
2. Ubungo Terminal Mabasi kumi na mbili (12)
3. Morocco Termial Mabasi kumi na moja (11)
4. Kariakoo Terminal Mabasi kumi (10)
5. Kivukoni Terminal Mabasi kumi na moja (11)
JUMLA.NI MABASI HAMSINI (50)
NAOMBA KUWASILISHA
Kwa hiyo ndiyo yameanza kazi au vp? Alafu kwenye shida ya usafiri ni mbagala na Gongolamboto. Abiria kule kibao sio ubungo bw
ReplyDeleteSafi sana sasa wakazi wa maaneo hayo hongereni sasa mbona ruti ya kariakoo Posta hakuna maana wakazi gongolamboto tabata pamoja kariakoo wanahitaji husafiri wa kwenda Posta
ReplyDeleteSAFI SANA ILA WAKAZI WA GONGOLAMBOTO BADO TUNA SHIDA SANA, KAMA MIMI NAISHI KITUNDA, KUTOKA KITUNDA HADI BANANA SHS. 400, NIKIFIKA BANANA SIWEZI KUPATA SITI KWENYE BASI LA KWENDA MNAZI INABIDI NIGEUZE HADI GONGOLAMBOTO ILI NIPATE SITI YA KUKAA KWA SHS. 800, NIKIFIKA MNAZI INABIDI TENA NIPANDE UDA KWENDA POSTA/KIVUKONI KWA SHS, 400 TENA MAANA MABASI YA GONGOLAMBOTO HAWARUHUSIWI KWENDA POSTA/ KIVUKONI WANAISHIA MNAZI TUU, HIVYO NASI TUKIPATA USAFIRI HUU TUTAEPUKANA NA TATIZO HILI,
ReplyDelete