Mkuu wa Kituo cha Zimamoto na Uokoaji Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, Kamishna Msaidizi Juma Yange akitoa maelezo namna kisima cha maji maalumu ya Zimamoto (fire hydrant) kinavyofanya kazi kwa Kamishna Jenerali Thobias ndengenye alipotembelea kituo hicho mapema leo.
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye akijitambulisha kwa Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA), Ramadhani Maleta alipotembelea leo uwanja huo wakati akiwa kwenye muendelezo wa ziara yake ya kutembelea vituo vya zimamoto na uokoaji nchini.
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye akitoka kukagua ujenzi wa jengo la Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji linalojengwa eneo la Tazara Mchicha mapema leo asubuhi alipokuwa akiendelea na ziara yake ya kutembelea vituo vya Zimamoto katika Jiji la Dar es salaam. (Picha na FC Godfrey Peter)

Serikali iangalie uwezekano wa kuwekeza zaidi katika idara hii nyeti kwa kuwapatia vitendea kazi bora.imekuwa kawaida yetu kuto on a umuhimu wa idara hii mpaka pale majanga ya moto yanapotokea.
ReplyDeleteNa ili kuofanya idara hii kuwa more relevant serikali ingeanzisha kitengo cha paramedics (ambulance service )ndani ya idara hii.
Nimefurahishwa na Uteuzi wa Kamanda Andengenye,nina imani kuwa nanakuja kufanya mageuzi makubwa sana kwenye idara hii nyeti!!
ReplyDelete