JULIANA BANKOLWA
MASHIBA
1934-2015
Mwaka
mmoja umepita tangu mama yetu mpendwa ulipoitwa na mwenyezi Mungu tarehe
04 Mei, 2015 na kupumzishwa Kisesa, Mwanza siku ya tarehe 07 Mei, 2015.
Umetuacha
katika majonzi makubwa lakini tukiwa na matumaini ya kuonana tena na
tukimtukuza Mungu pamoja na Malaika na Watakatifu wote Mbinguni. Hatutasahau
upendo, ucheshi, upole, hekima, bidii yako, Moyo wa kujitoa kuwahudumia wengine
na kutopenda makuu.
Unakumbukwa
na Mume wako mpendwa Martin, watoto wako Leah, Ben, Thobias, Sophia, Francis,
Evarist, Venance, Renatus, George, na Leocadia, Wakwe zako, Wajukuu, Ndugu, Jamaa
na Marafiki.
Familia
itatoa sadaka ya shukrani katika ibada itakayofanyika siku ya Jumamosi tarehe 7
Mei, 2016 saa 3 Asubuhi Nyumbani kwa Mzee Martin Mashiba, Kisesa-Mwanza.
Raha ya Milele Umpe Ee Bwana na Mwanga wa Milele
umwangazie, Apumzike kwa Amani. Amina
THE LATE JULIANA BANKOLWA MASHIBA
1934-2015
Departed
on 4th May, 2015
Time
passes but fond and treasured memories remain, A year has gone but we still cannot
bring ourselves to accept the fact that you are not here with us anymore.
Always
warmly remembered with love, laughter, and affection by your husband Martin,
Children Leah, Ben, Thobias, Sophia, Francis, Evarist, Venance, Renatus,
George, Leocadia, In laws, Grandchildren, Relatives and Friends.
Thanks-giving
mass will be held on Saturday 7th May, 2016 at Martin Mashiba’s Residence,
Kisesa-Mwanza
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...