Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Mhe. Jaji Aloysius Mujulizi akiongoza kikao cha pamoja baina ya Tume na Wataalamu kutoka Marekani kujadili Mfumo wa Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai Tanzania.Kamishna wa Tume Prof. Sufian Bukurura akizungumza wakati wa mkutano wa pamoja baina ya Tume na Wataalamu kutoka Marekani wakiongozwa na Prof Allen kujadili Mfumo wa Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai Tanzania.Sehemu wa washiriki wa kikao cha pamoja baina ya Tume na Wataalamu kutoka Marekani kujadili Mfumo wa Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai Tanzania.Mmoja wa washiriki kutoka Marekani akijitambulishwa wakati wa kikao cha pamoja baina ya Tume na Wataalamu kutoka Marekani kujadili Mfumo wa Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai Tanzania.Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Mhe. Jaji Aloysius Mujulizi ( wan ne kulia) akiwa katika picha ya pamoja na wataalamu kutoka Marekani wakioongozwa na Prof Allen ( kulia kwa Mwenyekiti) wakati wa kikao cha pamoja baina ya Tume na Wataalamu kutoka Marekani wakiongozwa na Prof Allen kujadili Mfumo wa Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai Tanzania. (Picha na Munir Shemweta, Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 03, 2016

    Haws sio wale jamaa wa MCC? Sisi tulishapindukia kwingine! Mbona wamechelewa?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...