KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans van De Pluijm amejizatiti kuweza kutoka na ushindi kwenye mechi ya nne ya kombe la Shirikisho Barani Afrika dhidi ya Medema ya nchini Ghana ambapo mechi hiyo itaonyeshwa kupitia chaneli ya Supersport 9 majira ya saa 11:50 jioni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Kudadadeki 3- 1? Yanga bwana, kwa kweli hii timu ni ya magazetini tu na redioni uwanjani, ziro kabisaaaaa. Tuone kama magazeti yatanunuliwa leo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...