Bwana Harusi David Saire Manoti akiwa na Mke wake mpenzi Nezia Manumbu Baada ya Kufunga Pingu za Maisha katika Kanisa la St. Peters Jijini Dar.
Maharusi wakipata Picha ya pamoja na Wasimamizi wao
Maharusi wakipata picha na wasimamizi wao pamoja na wasindikizaji walionogesha Harusi hiyo.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...