KAMPUNI ya GSM imetoa punguzo la asilimia 50 kwa wateja wake ikiwa ni sehemu ya kuwanufaisha wateja hao katika msimu huu wa sikukuu ya Eid El Hajj.

Akizungumza na Waandishi wa Habari juu ya punguzo hilo kwa wateja, Meneja wa Bidhaa wa Kampuni hiyo, Mohammed Saad amesema Kampuni hiyo imefanya punguzo la bei ili kuwapa nafasi Akina Mama, Baba na Dada kupata fursa yakupata mahitaji hayo.

"Tunawakaribisha wateja wetu GSM Malls Msasani, Pugu na Mlimani City"amesema Saad.
Pia punguzo hilo la bei limeanza August 25 mwaka huu.
Meneja Bidhaa wa Kampuni ya GSM, Mohammed Saad na Kushoto ni Meneja wa Bidhaa wa Kampuni ya GSM(Mwenye Shati la Bluu), Rishabh Raj akizungumza na Waandishi juu ya punguzo hilo la bei kwa bidhaa zao zinazopatikana dukani kwao.
Meneja wa Bidhaa wa Kampuni ya GSM, Rishabh Raj akieleza jambo kwa Waandishi juu ya mauzo ya bidhaa zinazopatikana GSM na Kulia ni Meneja Bidhaa wa Kampuni ya GSM, Mohammed Saad.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...