Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Mhandisi Deusdedit Kakoko (katikati) akisisitiza jambo mbele ya waandishi wa habari jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki alipokuwa akizungumzia maboresho yanayofanywa na mamlaka hiyo. kulia ni Mkurugenzi wa Utekelezaji (TRL), Bw. Focus makoye na Mkurugenzi wa Biashara na Masoko (TPA), Bibi. Fransisca Muindi.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Mhandisi Deusdedit Kakoko akisisitiza jambo mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani) jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki alipokuwa akizungumzia maboresho yanayofanywa na mamlaka hiyo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...