Bw. Bernard Odhuno Msimamizi wa Mradi wa Ujenzi wa Miundombinu ya maji taka katika
Manispaa za Ilala na Temeke (kwa niaba ya Ofisi ya Makamu wa Rais)
akibadilishana Mkataba na Bw. Sheikh Bawazir Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Dezo Civil Contractors iliyopewa
kazi ya Ujenzi wa Ukuta wa (Ocean Road
na Kigamboni) na Miundombinu ya maji taka katika Manispaa za Ilala na
Temeke.
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Eng. Ngosi Mwihava (wa kwanza kushoto) akishudia utiaji saini wa
Mkataba wa ujenzi wa Ukuta wa (Ocean Road na Kigamboni) na Ujenzi wa
Miundombinu ya maji taka katika Manispaa za Ilala na Temeke. Ujenzi huo utafanywa na Kampuni ya Dezo Civil
Contractors. Wengine katika picha ni wawakilishi wa Kampuni ya Dezo na
Watendaji kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais.
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...