Kiungo
wa Yanga, Thaban Kamusoko akiwania mpira na Beki wa Maji Maji, Selemani
Kibuta wakati wa Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania bara dhidi ya Timu ya Maji
Maji ya Songea,
uliopigwa jioni ya leo kwenye Uwanja Uhuru, Jijini Dar es salaam. Yanga
imeshinda bao 3-0.
Mshambuliaji
wa Yanga, Simon Msuva, akionyesha uwezo wa kuuchukua mpira kwa adui
yake, wakati wa Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania bara dhidi ya Timu ya Maji
Maji ya Songea,
uliopigwa jioni ya leo kwenye Uwanja Uhuru, Jijini Dar es salaam. Yanga
imeshinda bao 3-0.
Amis
Tambwe wa Yanga, akimpiga tobo maridadi, beki wa Maji Maji, Ernest
Raphael, katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania bara dhidi ya Timu ya Maji
Maji ya Songea,
uliopigwa jioni ya leo kwenye Uwanja Uhuru, Jijini Dar es salaam. Yanga
imeshinda bao 3-0.
Chenga ya mwili: Mchezaji wa Yanga, Simon Msuva akimkwepa Beki wa Maji Maji, Hamad Kibopile, wakati wa Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania bara dhidi ya Timu ya Maji Maji ya Songea,
uliopigwa jioni ya leo kwenye Uwanja Uhuru, Jijini Dar es salaam. Yanga
imeshinda bao 3-0.
Donald Ngoma wa Yanga, akichuana vikali na Beki wa Maji Maji, Bahati Yussuf.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...