Rais mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi akiwatunuku wahitimu wa kozi mbalimbali katika mahafali ya Chuo Kikuu cha Kampala (KIU) cha jijini Dar es Salaam kwenye sherehe za mahafali.
Baadhi ya wahadhiri wa chuo hicho wakiwa kwenye mahafali hayo.
Baadhi ya wahitimu wa ngazi ya digrii kozi ya afya wakila kiapo cha uadilifu baada ya kuhitimu fani hiyo.
Sehemu ya wahitimu wakiwa katika mahafali hayo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...