Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Mashaka Gambo,akizungumza na wafanyabiashara wa Mkoa wa Arusha, ofisini kwake Jijini Arusha.
Baadhi
ya wafanyabiashara wa Mkoa wa Arusha walioshiriki kikao kilichoitishwa
na Mkuu wa Mkoa wa Arusha(hayupo pichani),ofisini kwake Jijini Arusha.
Wakuu
wa Taasisi mbalimbali za Serikali zilizopo Mkoani Arusha walioshiriki
kikao cha Mkuu wa Mkoa wa Arusha na wafanyabiashara wa Mkoani hapa.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...