Taarifa iliyoigikia Globu ya Jamii asubuhi hii, inaeleza kwamba Aliyekuwa Spika mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Waziri Mwandamizi Mhe. Samuel Sitta amefariki dunia usiku wa kuamkia leo huko nchini Ujerumani alikokuwa katika matibabu... taarifa rasmi itawajia baadae kidogo. Globu ya Jamii inatoa Pole kwa ndugu , jamaa na marafiki wote na Mungu ailaze Roho ya Marehemu mahala pema peponi"
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
RIP MZEE WA SPEED NA VIWANGO TUTAKUKUMBUKA DAIMA
ReplyDeleteRIP ni pigo kubwa pole sana mama Magreth sita na familia nzima. Faraja ya Mungu iwafunike.
ReplyDeleteR.I.P Mh Samwel sita mbele yako nyuma yetu.
ReplyDeleteKupoteza binadamu ni khasara na ni lazima tusikitike na kuomboleza RIP Mzee Samwel Sitta.
ReplyDelete