Mwenyekiti wa timu ya Bunge Mhe. William Ngeleja ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Sengerema mkoani Mwanza akizungumzia maandalizi ya timu ya Bunge kuelekea mashindano ya Afrika Mashariki yatakayofanyika nchini Kenya.
Mkurugenzi wa Benchi la Ufundi la timu ya Bunge Mhe. Stephen Ngony’ani almaarufu kama Profesa Maji Marefu akizungumza na waandishi wa habari kwenye hotel ya Tanga Beach Resort ambapo timu ya Bunge imeweka kambi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...