Katibu Mkuu wa Baraza la Michezo la
Taifa (BMT) Mohammed Kiganja akiongoza Wachezaji wa timu ya Taifa ya mchezo wa
kabadi walipowasili jijini Dar es salaam wakitokea nchini India kwenye
mashindano ya mchezo huo uliofanyika hivi karibu nchini humo .
Wachezaji wa timu ya Taifa ya mchezo
wa kabadi wakiwasili jijini Dar es salaam wakitokea India kwenye mashindano ya
mchezo huo uliofanyika hivi karibu nchini humo ambapo Tanzania imetolewa kwenye
mashindano hayo .
Katibu Mkuu wa Baraza la Michezo la
Taifa (BMT) Mohammed Kiganja akiongea na waandishi wa habari mara baada ya
kuwasili uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam wakitokea
nchini India kwenye mashindano ya mchezo wa kabadi uliofanyika hivi karibu
nchini humo
.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...