Waziri Mahmoud Thabit Kombo akimkabidhi kombe la mashindano ya kisukari nahodha wa timu ya Wizara ya Habari Mussa Abdlaa (fujo) baada ya kuilaza Elimu mabao 4-3 katika mchezo wa fainali ulifanyika Uwanja wa Amani Mjini Zanzibar.
Mabingwa wa kombe la kisukari timu ya Wizara ya Habari wakiwa katika picha ya pamoja na kombe la walilonyakuwa la michuano ya kisukari yaliyoshirikisha Wizara nane za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.Picha na Makame Mshenga/Maelezo Zanzibar.
Mshambuliaji Yussuf Saleh wa timu ya Habari akimtoka mlinzi wa timu ya Elimu Shaaban Naimu katika pambano la fainali la kombe la kisukari lililofanyika uwanja wa Amani, Habari ilishinda mabao 4-3.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...