Na Ibrahim Kamwe "Bigright"
Hivi karibuni kumetokea na migongano ya kisheria na fitna ndani ya ngumi za kulipwa na baadhi ya wavamizi kuitumia nafasi hiyo kuisambaratisha kama sio kuua kabisa tasnia ya ngumi za kulipwa.kwa kujaribu kufanya mapinduzi.
Ukweli ni kuwa kwa muda mrefu sana ngumi za kulipwa hapa nchini zilikuwa zikiendeshwa na kuongozwa na makampuni hasa PST na TPBO huku TPBC nayo ikijikokota kwa nyuma yao likisimamia jina bila kuwa na mapambano mengi ya kueleweka.
Huku mapambano yote makubwa na ya ubingwa yakisimamiwa na makampuni hayo na mawaziri wenye dhamana husika wakiwa ndio wageni rasmi na kutoa michango yao, kwa TPBO au PST au TPBC ltd, sasa iweje leo hawakubaliki? Kusoma zaidi BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...