Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Mbona hakuna hata mmoja alijaribu kumfanyia CPR ama hakuna daktari hapo ama makocha na phisio hawafundishwi CPR?

    ReplyDelete
  2. Mkuu kama unakaa nje unatambua wenzetu wanavyothamini Resuscitation.Tanzania tuna vitu hivi vidogo vidogo ambavyo ni vikubwa sana hatuvipi umuhimu.nimeona mmoja anachunguza airway lakini hakuna aloanzisha CPR Tunapoteza watu wengi sana kwenye ajali.nyumbani na sehemu mbali mbali ambao wangeweza kuokolewa. hii kitu depertment of Health ina jukum nalo,Nchi zilizoendelea hata mtoto wa nursery anajua CPR.kuna skills nyingi tunahitaji kupeleka kwa jamii nzima za first aid.Wenzetu first Aid ni legal requirement sehemu yoyote unayoingia kwa mara ya kwanza na annual trainings. why not us .si ajabu ukakutana na wafanyakazi wa afya hawawezi kuresuscitate na sitashangaa sembuse hao. Huyo kimtazamo wangu si ajabu angeokolewa

    ReplyDelete
  3. Viwanja vyote na timu husika ziwe na gari la kubeba wagonjwa na sio kubeba kwa kutumia gari la zimamoto.... Tanzania siasa nyingi kuliko utendaji .

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...