Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Mheshimiwa Katibu Mkuu anaelezea mambo ya Wizara ya Nishati, Wizara ya Fedha na Wizara ya Ardhi, ila wao Wizara ya Viwanda wamejipanga vipi??? Tuna ndoto ya viwanda vikuuubwa wakati duniani kote viwanda vilianza chini na kukuwa. Viwanda vikubwa vya watanzania vyote vilianza kama family business ndogo vikawa vinakua jinsi mitaji yao inavyokua, hebu tuwawezeshe watanzania wenzetu na mitaji, ujuzi, elimu na masoko maana hivyo viwanda mnavyoviota tulikuwa navyo 1980 na vimekufa vyote. Pia tusiwe na ndoto za kufungua utitiri wa mabenki, benki ya viwanda ya nini wakati tuna TIB na TADB?? Kama tunaunganisha mifuko ya pensheni kupunguza operating costs kwanini tunataka kuongeza mabenki?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...