Kijana Francis Damiano
Damas (17) ametwaa medaili ya shaba katika mbio za mita 3000 kwenye
mashindano ya sita vijana kutoka nchi za Jumuiya
ya Madola yaliyomalizika mwishoni mwa juma jijini Nassau nchini Bahamas. Picha ya juu inamuonesha Kijana Francis Damiano
Damas akiwa na wenzake Collins (kushoto) Kiongozi wa msafara Mwinga Mwanjala (katikati), kulia ni Celina Itatiro (14) na wa pili kulia ni Regina (15)
Home
Unlabelled
Francis Damiano Damas ashinda medali ya shaba mashindano ya vijana ya Jumuiya ya Madola nchini Bahamas
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...