Rais
wa jamhuri ya muungano wa tanzania Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na
viongozi mbalimbali wakifungua kitambaa kuashiria kuweka jiwe la msingi
la ufunguzi wa Barabara ya Kibondo -Nyakanazi kiwango cha lami.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na
viongozi mbalimbali serikali wakikata Utepe kuashiria kuweka jiwe la
Msingi la Uzinduzi wa Ujenzi wa Barabara ya Kibondo -Nyakanazi
Baaadhi
ya Viongozi wa vyama vya siasa na wananchi wa Wilaya ya Kakonko Mkoani
Kigoma wakisikiliza Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa Uzinduzi wa Ujenzi wa Barabara ya
Kibondo -Nyakanazi.
Rais
wa jamhuri ya muungano wa tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na kijana mwenye ulemavu amabye ni fundi wa kushona nguo
ndugu Aron Michael Kapililo mkazi wa Kibondo ambaye alisimiana na Rais
Magufuli
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiwapungia mikono mamia ya wakazi wa Kasulu, Mkoani Kigoma.
Mamia
ya wakazi wa Kasulu Mkoani Kigoma waliojitokeza kumsikiliza Rais wa
Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa
uzinduzi wa ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami yenye urefu wa
kilometa 63 Kidawe - Kasulu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Mbunge Kigoma Mjini Mheshimiwa Zitto Zuberi Kabwe mara
baada ya kuzindua ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami yenye urefu
wa kilometa 63 Kidawe - Kasulu
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia
mkono wananchi waliokuwa wamefurika njiani mara baada ya Uzinduzi wa
ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami yenye urefu wa kilometa 63
Kidawe - Kasulu Mkoani Kigoma.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...