Wachuuzi
wa Samaki wakiwa wanaelekea ndani ya Maji kwa ajili ya kununua Samaki
maarufu kwa jina la Uono, ambao unapendwa sana katika mji wa Tanga kwa ajili ya
kulia Ugali na kutafuna wakati wa chai asubuhi
Wachuuzi wa Samaki wakichangamkia Samaki katika moja ya jahazi lililoingia na mzigo kutoka katika kina kirefu mara baada ya kusubiriwa kwa muda mrefu
Mchuuzi wa Samaki akingia katika maji kwa ajili ya kununua Samaki katika Majahazi yaliyofika katika ufukwe wa Sahare
Wavuvi wakiondoka kwenda kuvua mapema leo Asubuhi katika pwani ya Jiji la Tanga
Mkazi wa Jiji la Tanga akichagua Samaki kutoka wauzaji wa soko la Sahare jijini Tanga.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...