Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es
Salaam Paul Makonda pamoja na viongozi wengine wa Mkoa wa Dar es Salaam mara
baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere(JNIA)
jijini Dar es Salaam wakati akitokea Mkoani Arusha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya
Ilala Sophia Mjema mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa
wa Mwalimu Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam wakati akitokea Mkoani
Arusha.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda pamoja na viongozi
wengine mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu
Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam wakati akitokea Mkoani Arusha. PICHA NA IKULU
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...