Afisa Mtendaji Mkuu wa Zantel Sherif El Barbary akizungumza katika maadhimisho ya wiki ya kupambana na makosa ya kughushi yaliyohudhuriwa pia na maafisa kutoka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) yaliyofanyika katika makao makuu ya kampuni hiyo jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Kulia ni Meneja wa Zantel anayeshughulikia masuala ya Afya, Usalam na Ulinzi Nashon Mudala.
Meneja wa Zantel anayeshughulikia masuala ya Afya, Usalama na Ulinzi Nashon Mudala akizungumza wakati wa maadhimisho ya wiki ya kupambana na makosa ya kughushi yaliyohudhuriwa pia na maafisa kutoka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) yaliyofanyika katika makao makuu ya kampuni hiyo jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Pamoja naye ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Zantel Sherif El Barbary.
Afisa wa Kampuni ya Zantel Hamid Mohamed Bakar akizungumza wakati wa maadhimisho ya wiki ya kupambana na makosa ya kughushi yaliyohudhuriwa pia na maafisa kutoka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) katika makao makuu ya kampuni hiyo jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Mkuu wa kitengo cha Rasilimali watu Joanitha Rwegasira Mrengo akizungumza katika maadhimisho ya wiki ya kupambana na makosa ya kughushi yaliyohudhuriwa pia na maafisa kutoka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) yaliyofanyika katika makao makuu ya kampuni hiyo jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Zantel Sherif El Barbary.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...