Wafanyakazi wa kiwanda cha kubangua korosho cha Korosho Africa Ltd. kilichopo katika wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma wakiwa kazini. Wakazi zaidi 750 kutoka katika wilaya hiyo wamepata ajira katika kiwanda hicho kinachotajwa kama mkombozi mkubwa wa umaskini kwa wilaya ya Tunduru.
Wafanyakazi wa kiwanda cha kubangua korosho cha Korosho Africa Ltd. kilichopo katika wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma wakiendelea na kazi.
Daraja linalojengwa na serikali chini ya wakala wa ujenzi mjini na vijijini Tarura wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma kwa gharama ya shilingi bilioni 115.804 lenye urefu wa mita 45 katika mto Nanyungu lililopo kijiji cha Fundimbanga kama linavyoonekana ambapo litakapokamilika litasaidia kurudisha mawasiano ya uhakika kati ya wakazi wa kijiji hicho na maeneo mengine ya wilaya ya Tunduru. Picha na Muhidin Amri.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...