Jamani nimejiunga kwenye gari hili la blogu. Tusionane noma. Leteni vituz. Anayetaka masnepu ya bongo aseme tu atapata. Muulizeni Ndesanjo ambaye ananifungulia hii blogu tukiwa pamoja Helsinki kwenye mkutano huu hapa. Picha hii kapiga dada mmoja hivi...sijui anaitwa nani. Picha hii ni kwenye tafrija fupi ya kunipokea ndani ya jengo la Finlandia Hall.
Next
Newer Post
Previous
This is the last post.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

 1. Mapicha kibao kaka tutapata nimefurahi sana "kifaa" kama wewe kuingia katika ulimwengu huu wa blogu.Ndesanjo kafanya kazi kubwa kukuambukiza haka "kaugonjwa" ka kublogu Karibu sana!.Tunategemea mambo mengi toka kwako.

  ReplyDelete
 2. Michuzi, huu ugonjwa naona umekuingia kisawasawa. Tatizo ni kuwa hauna dawa!

  ReplyDelete
 3. Karibu Bwana Michuzi ukongwe wako wako wa picha ni muhimu kabisa katika ulimwengu huu wa blogu

  ReplyDelete
 4. Tofauti na wanablogu wengi wewe unaishi ndani ya bongo, hivyo vitu vyako vitakua toka jikoni-- mambo yako yatakuwa "live" lakini sio live8.
  Hongera kwa kuingia.
  Mloyi.

  ReplyDelete
 5. Jamani nimeipitia site hii ki-bahati bahati tu.

  What is all about?

  Please Michuzi tell me...it seems you are a famous person here

  ReplyDelete
 6. MICHUZI LEO NIMEONA NIJE SIKU YA UZINDUZI KUKUPA HONGERA KWA KUTIMIZA MIAKA MIWILI.

  HONGERA SANA KWA KAZI NZURI UNAYOIFANYA.

  ReplyDelete
 7. AnonymousJune 11, 2008

  asante kwa kuniskiliza - michuzi

  ReplyDelete
 8. AnonymousMay 07, 2009

  haaa,michuzi kumbe unavaaga sutiiiii,hongera baba imekukaa balaaaaaaa

  ReplyDelete
 9. hongera ankal uko juu kama mbingu,mungu akuoongezeeee maujuzi zaidi tchao.

  ReplyDelete
 10. Hongera kwa kufikisha miaka 5.

  ReplyDelete
 11. HONGERA KWA MIAKA MITANO YA BARAZA MJOMBA:-) ALL THE BEST

  ReplyDelete
 12. ankal,
  kwanza habari za kazi maana naona sasa mna kazi kubwa huko kwetu ,sisi walinda amani huku Darfur sudan tunawatakia idd mubarak na kampeni njema pia naipongeza blog ya jamii kwa kutimiza miaka mitano maana tunapata habari nyingi kupitia Glob hii ya Jamii sisi tulioko huku Sudan

  ReplyDelete
 13. Uncle Hongera sana kwa kutimiza miaka 5 .....Mungu akuzidishie zaidi...Kwa kweli umetuokoa sana sisi watanzania kwa hii blog ...umetuelimisha, kutuhabarisha vitu vingi vya duniani,...keep it mna..


  Rodrick Mwambene---Mdau

  ReplyDelete
 14. Toka tarehe 8/9/2005 mpaka 8/9/2011 ni Miaka sita sasa! Big up Michuzi!

  ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...