Kuna jamaa kaninunia kwa kumtumia picha hii. naomba msaada wa mawazo, kosa langu nini?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Huu ni ukulima wa kisasa karoti zimepadana. Ndio uzazi huo au?

    ReplyDelete
  2. Ala! Angalia hapa kuona namna ya kuingiza picha zako kama hii kwenye kamusi ya kiswahili, ili wanafunzi wote wapate nafasi kuelimishwa

    http://research.yale.edu/swahili/serve_pages/photouploader_en.php

    ReplyDelete
  3. hata mimi ningenuna huoni imekaa ki nanii nanii (makende) na huyu anyaka nini hapo ch akuelimisha wanafunzi kwamba hata karoti zina sehemu za siri au??

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 18, 2006

    mmh! Michuzi mambo gani hayo?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...