THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

Mti mkavu


Mwana mfalme wa blogu za kiswahili Ndesanjo Macha akiwasikiliza Mti Mkavu (kushoto) na Gotham helsinki mwezi wa septemba 2005.


Kuna Maoni 10 mpaka sasa.

 1. Anonymous Anasema:

  Michuzi, MtiMkavu au MtiMkubwa???

 2. Michuzi Anasema:

  Errr...Mti Mkubwa Mkavu (tehe tehe tehe...)

 3. Fikrathabiti Anasema:

  Kumbe ndesanjo kafanana na Damian Marley

 4. Fikrathabiti Anasema:

  Naomba Mrudisho nyuma au hadidu za rejea kwenye hayo mazungumzo kati ya mfalme wa bloguni na mti mkavu.

 5. Hakyanani!!..Mkerewe wangu, ningekuona sasa hivi ningekupotea..

 6. Ndesanjo Macha Anasema:

  Naona Mti Mkubwa kabatizwa jina jipya...au tuseme kaongezewa jina: Mti Mkubwa Mkavu!

  Fide, umekubali jina?

 7. Anonymous Anasema:

  Nikulilagwe wanabulogu bhabhabha na bhamayu, lelo Omukerebe nkwenda kuloma Gisukuma.

  Mayo wane, nshimba-nkima wane, nfumu-nkulu wane, obeja. OMutiMkulu uli wawe milele na milele.

  Tukwibona mayo wane,

  F MtiMkubwa Tungaraza

 8. Anonymous Anasema:

  Awali ni ujumbe kwa Fikrathabiti,

  Kwa marejeo tu. Hapo palizuka mfumuko wa dhoruba ya kubadilishana mawazo juu ya kuwavua silaha vijana wa nchi za Kanda ya Maziwa Makuu. Uvuaji silaha kwa vijana wa nchi zilizoathirika na vita ndiyo moja ya shughuli za Mwanaharakati Gotham. Basi katika mazungumzo hayo tukajikuta sadfa, mawazo, na majadiliano yanatupeleka mpaka Liberia na Sierra Leone. Kikao kilikuwa kifupi lakini kilichojaa kila namna ya utajiri wa kiakili.

  Pili, kwa Ndesanjo,

  Mambo ya Michuzi ndiyo hivyo hivyo miye MtiMkubwa kwenda kuniita MtiMakavu ujue ana hila. Ukiona hivyo anataka kunikata kuni maanake unaokatwa kuni Mtimkavu. Muache aje kama misumeno na mashoka yake hatyatatoka mapengo na kuuacha MtiMkubwa umesimika kama alivyoukuta.

  Jamani Nawatakieni heri na mafanikio ya Mwaka Mpya 2006. Haya yote mliyoyafanya 2005 yameupa mwaka huo chemchem nyingi za furaha na matumaini.

  Watakabahu ni miye,
  F MtiMkubwa Tungaraza.

 9. Anonymous Anasema:

  Ndesanjo (formerly Gregory) Fide, ni furaha kuwaona

  Dan Nkurlu aka Babakulu

 10. Anonymous Anasema:

  Ndesanjo is one hell of a good looking man....msafiiiii ona hata ngozi yake....repect man