Haya Ida Nkya na hii ya mfuga ngamia wa kimasai nimeichezea

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. nimeipenda hiyo kanga ya CCM

    ReplyDelete
  2. Michuzi usinichape bakora tafadhali. Picha zako ni kali sana. Leta nyingi zaidi. Naogopa bakora kaka.
    Nkya

    ReplyDelete
  3. Mkubwa haujambo. Sisi tulioko huku ughaibuni tunafurahishwa sana na tupicha twako kwani tunatukumbusha mbali sana. Sisi tungalikua na mabawa tungaliruka kuja kusabahi ndugu, jamaa na marafiki huko. Lakini kapicha haka hakana ujumbe fulani wa kisiasa hivi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...