Siku hizi haijalishi unafanya biashara gani katika kupeleka mkono kinywani. Huyo anauzwa kati ya 20,000/- na 40,000/- bora mapatano na anapatikana maeneo ya Victoria kila siku.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Mbona hako ka-puppy kanaonekana kama ana wasiwasi vile. Ningekuwa Bongo mbona ningemchukua, kananikumbusha Savimbi wangu kalivyokuwa kadogo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...