wanautamadunio wa kigogo wakitumbuiza mjini dodoma karibuni. ngoma hii haina tofauti sana na ya kimasai ambapo wanaume hurukaruka na kubonga

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. michuzi siku nmyingine ufikage mnadani upige picha mafinyu finyu nyama za marehemu ng'ombe na mbuzi utuwekee humu! asikia mnada umehama sijui sasa hivi uko wapi?

    ReplyDelete
  2. michuzi umekwisha ishiwa picha sasa!umeanza kuchoka taratibu.

    ReplyDelete
  3. Michuzi usivunjike moyo kaka kwa maneno ya wajinga hii picha nzuri sana haya ni maneno ya walioshindwa maishani wanataka kuwavunja mioyo na wenzao. mwendo huohuo tuwekee ngoma zote tujione. kama yeye ametajirika picha mbona hatuwekei?????

    ReplyDelete
  4. kwa nilivyomuelewa mr anony hapo juu si kwamba anamaanasha hakuipenda picha bali ni jinsi kasi ya ongezeko la picha lilivyoanza kuchoka

    ReplyDelete
  5. Hawa wanawezaje kucheza ngoma kwa furaha wakati wanakabiliwa na njaa na ujambazi au hapo majambazi hayafiki na pia wamepikiwa pilau maana inaonekana na ujuio wa ziara za viongozi wa serikali?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...