THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

ben na anna


mzee mzima akilisakata na mkewe kwenye hafla jana usiku, ikiwa ni mtoko wake wa kwanza tangia atundike daruga mwezi desemba


Kuna Maoni 10 mpaka sasa.

 1. John Mwaipopo Anasema:

  Wamependeza hao

 2. Mmh!..Baba wa aina hii huwa hatabiriki, hapo mtoto lazima uwe umejiandaa kwa lolote wakati wote.

 3. Anonymous Anasema:

  Kumbe Beni amemfuanana na meneja masoko wa wiraya ya murreba!

 4. mark msaki Anasema:

  tamu sana!! ila anawaza hizi fumua fumua za Jk washikaji itakuwaje?

 5. Anonymous Anasema:

  alianza kama kikwete tu, "uwazi na ukweli" tume ya warioba(rushwa)nk. baadae akachoka na tena wala hakutaka tena kuzungumzia kuhusu tume ya warioba.Ben waghaibu wanamkubali sana,amejitahidi sana anastahili kupewa sifa kadhaa.JK na "nguvu mpya ari mpya" tunasubiri ni mapema mno, ila naye atakuwa kama brazaake Ben baadae? atachoka? au baadae itakuwa "Ruksa" mafanikio mema mtukufu rais. jamjuah

 6. Wewe achana na JK hii nguvu bwana uliona wapi tume inapewa siku na mara baada ya kutoa ripoti kesho yake majibu yanawafikia raia. Huyu ndiye JK rais wa wananchi anayetaka kuigeuza nchi yetu iwe ya wananchi wa chini na sio Ben bwana mwacheni aende tu mzee huyu wa Tax return

 7. Anonymous Anasema:

  Tatizo si tume wala nini, Jamjuah ana hoja. Ben alianza hivyo hivyo matokeo yake sote tunajua. Kwanza Kikwete hakutakiwa kuunda tume, wale walitakiwa kufikishwa mahakamani period. Mwendesha mashataka ndio angeita hao waliohojiwa na tume. Huo ulikuwa ubadhirifu wa pesa ya walipa kodi.

 8. mark msaki Anasema:

  ila Beni alikuywa hataki kukosolewa! ukimwambia serekalini kuna rushwa alikuwa hataki kukubali! Mtikila naye anafikiria kufile ngoma The Hague kwa ajili ya kuua wapemba! - madaraka si kitu cha kuchekelea wala kuchezea! unaweza ukaishia lupango mida ya uzeeni!

  Jk naye anaonekana anabeat around the bush...ndani ya miezi 6 iliyopita maraisi wawili (Afrika kusini na Malawi)wamewakung'uta makamu wa raisi itakuwa Omari?

 9. Anonymous Anasema:

  JOJINA,JOJINA UMEONDOKA JOJINA........

 10. Anonymous Anasema:

  Duh! Kumbe anko Ben naye anayaweza?