THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

bunge laahirishwa


waziri mkuu EL akiahirisha bunge leo baada ya kukaa kwa mara ya kwanza toka uchaguzi mkuu.


Kuna Maoni 3 mpaka sasa.

 1. John Mwaipopo Anasema:

  Vipi wamediscuss ubadhilifu, ufisadi, rushwa na uozo ulioripotiwa kuwapo katika wizara ya mambo ya nje (balozi) za Bongo out?

 2. mark msaki Anasema:

  aah huyu mwanamume naona anapambana na miundo ya tawala za mikoa na wilaya kwanza... katoa hotuba nzuri sana kuwa muda wa kubebena umekwisha..na amesisitiza kuwa vyombo vya habari vina nafasi kubwa sana kujenga, visikimbiwe!

  http://www.uchaguzitanzania.com/new/articles/4224/1/Viongozi-mzigo-watoswe---Lowassa

 3. Indya Nkya Anasema:

  Kwa kweli ile nchi ina mambo mengi sana ya kufanya ndio maana nawaonea huruma hao jamaa. Mikoani, wizarani, wilayani kote matatizo. Ujambazi, Rushwa na kila kitu. Unajua kosa moja kubwa likishafanyika linagharimu nchi makumi ya miaka kulirekebisha.