THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

bwawa la mtera


hapa ndipo kitovu cha umeme cha bongo ambapo sasa kinakauka kutokana na kukosekana mvua kiasi hata serikali imetangaza tenda ya kupata mtu atayeweka mitambo ya umeme ya chupa ya chai


Kuna Maoni 7 mpaka sasa.

 1. Anonymous Anasema:

  Michuzi umeme wa IPTL umefikia wapi? si tunalipa USD 3.4 Million kila mwezi, na matumizi yake walisema ni wakati wa ukame kama huu ndipo tutakapoona umuhimu wake?

  Dennis

 2. Michuzi Anasema:

  we acha tu...

 3. Hilo la IPTL Michuzi uko karibu ebu tufafanulie huko mbona tunakosa umeme wakati hayo MAAIPITIELO YANALIPWA FEDHA ZETU?

 4. mark msaki Anasema:

  Michuzi, umeme wa chupa ya chai ni wa nuclear?

 5. KUHUSU IPTL:

  Serikali hailipi sh3.4bn kila mwezi, inalipa sh8bn kila mwezi. Sh3.5bn ni capacity charge, inalipwa hata kama mitambo haifanyika kazi. na sh4.5bn ni kununua umeme kama unazalishwa wote, yaani wote Megawati 100. kwa sasa unazalishwa wote plus megawati 190 za mitambo ya gesi ya Songas. Mahitaji ya umeme ni zaidi ya megawati 480

 6. Anonymous Anasema:

  hiyo pesa ya umma wanayoiba wakubwa si wanunue maji waweke humo! inatosha sana tu. jj

 7. Anonymous Anasema:

  Je kikwete ana mpango gani wa kuongeza umeme nchini? Come on we can do better that this.