THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

dar


dar nayo haijachacha lakini... mlio ughaibuni nambieni nimeipiga nikiwa jengo gani?


Kuna Maoni 4 mpaka sasa.

 1. Semkae Anasema:

  Ofisi yangu ya zamani nimeiona ile paleeeeee tetex house

 2. Anonymous Anasema:

  ulikuwa ndani ya PPF Towers

 3. Anonymous Anasema:

  CRDB

 4. mark msaki Anasema:

  au ndu jengo jipya mafuta house pembeni ya CRDB azikiwe?