THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

jangwani enzi hizo


mwalimu akihutubia jangwani mwaka 1957, bi titi akiwa naye benet. huyu mama jamani katoka mbali kweli, basi tu mambo ya bongo. lakini angalau ana kamtaa kalikoitwa jina lake kama kumbukumbu


Kuna Maoni 3 mpaka sasa.

  1. mark msaki Anasema:

    safi sana ni mrejesho nyuma tulikotoka!

  2. ndesanjo Anasema:

    Enzi hizo kulikuwa hakuna helikopta au TOT....

  3. Anonymous Anasema:

    mjanja kutoka bara kaingia mjini, watu mikono juu! wamemkubali manake.jamjuah